
USAJILI WA WANAFUNZI WA BABU (DIPLOMA UBUNGO)
Assalamu alaykum. Unaombwa kujaza fomu hii ili taarifa zake zitumike katika mawasiliano na maandalizi ya kikao cha Walimu waliosoma Diploma Ubungo, kukutana na Mwalimu wao Ust Mohamed Kassim (Babu) tar.4.4.2026
Tarehe ya mwisho kujaza fomu hii ni: 07-04-2026 13:27:00